Loading...
title : DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE
link : DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE
DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mchora Katuni mashuhuri Ndg. Thaddei Thomas Marealle kilichotokea asubuhi ya tarehe 05 Januari, 2018 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mwakyembe ametoa pole kwa familia, uongozi wa kampuni ya WAMASA Puplications Ltd, ndugu, jamaa, marafiki na wanasanaa wote nchini na kuwaombea Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Kipindi cha uhai wake marehemu Ndg. Thaddei alifanya kazi na kampuni ya WAMASA Publications Ltd inayo chapishaji gazeti la Sani. Marehemu Thaddei atakumbukwa sana kwa katuni yake maarufu ya Sokomoko iliyokuwa ikichapishwa na gazeti la Sani.
Imetolewa na:
Octavian F. Kimario
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
07/01/2018.
Hivyo makala DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE
yaani makala yote DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/dkt-mwakyembe-aomboleza-kifo-cha-mchora.html
0 Response to "DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE"
Post a Comment