Loading...
title : IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI.
link : IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI.
IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI.
Mwambawahabari
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon
Sirro, akikagua mradi wa maendeleo ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika Wilaya ya
Kipolisi ya Magomeni jijini Dar es salaam, mradi ambao unatarajiwa kuanza
kutumika kwa ajili ya kutoa huduma za Kipolisi hivi karibuni. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon
Sirro, akimsikiliza OCD wa Wilaya ya
Kipolisi ya Magomeni, Salim Marcuse, wakati alipotembelea moja kati ya miradi
ya maendeleo ya Jeshi hilo
inayotekelezwa katika mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Wananchi wa Kigogo Mburahati jijini
Dar es salaam, wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, ambaye
alifika eneo hilo kwa ajili ya kukagua moja kati ya miradi ya Jeshi la Polisi, ambapo
IGP Sirro, aliwataka wananchi hao kuendelea kushirikiana na Jeshi hilo kwa
kuwafichua wahalifu katika maeneo yao. Picha
na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI.
yaani makala yote IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/igp-sirro-akagua-miradi-ya-maendeleo.html
0 Response to "IGP SIRRO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KINONDONI."
Post a Comment