Loading...
title : IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI.
link : IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI.
IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI.
Mkuu wa jeshi la polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja jana alipokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi na maofisa na askari visiwani Unguja. IGP Simon aliwataka askari visiwani humo kuheshimu wananchi wakiwa kwenye kazi zao ili kuendelea kuleta heshima ya jeshi la polisi.
Askari wa vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja wakimsiliza IGP Simon Sirro alipokuwa anazungumza nao
Hivyo makala IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI.
yaani makala yote IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/igp-sirro-ataka-askari-kuheshimu.html
0 Response to "IGP SIRRO ATAKA ASKARI KUHESHIMU WANANCHI."
Post a Comment