Loading...

JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO

Loading...
JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO
link : JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO

soma pia


JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati) akitoa maelekezo katika kituo cha Afya Mikumi baada ya kupokea Taarifa ya Ujenzi.
1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati)  akipokea Taarifa ya Ujenzi wa miundombinu ya Afya katika Kitoa cha Afya Karume kilichopo Wilayani Rombo
4
5
Muonekano wa majengo yanayoendelea kujengwa katika Kituo cha Afya Mikumi-Rombo

Nteghenjwa Hosseah, TAMISEMI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametoa mwezi mmoja kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Karume ambao uko nyuma ya wakati kwa mujibu wa ratiba ya ujenzi wa vituo hivyo ambao unaendelea kote Nchini.
Wakati akikagua Kituo hicho Waziri Jafo amesikitishwa na kasi ndogo ya Ujenzi wa Kituo hicho unaopelekea kuzorotesha malengo ya Serikali ambao umejikita katika Utoaji wa huduma bora za Afya na za wakati kwa Wananchi.
Waziri Jafo alisema Kituo hiki kimepokea Fedha za ujenzi tangu mwezi Septemba, 2017 na kilitakiwa kiwe kimekamilisha  ujenzi huu mwishoni mwa Disemba 2017, lakini mpaka sasa ujenzi ndio umefikia kwenye hatua ya Kuezeka.
“Nataka mkajifunze kwa wenzenu ambao walipokea Fedha za Ujenzi sawa na nyie na wamekwishajenga Nyumba ya Mtumishi, Jengo la Maabara, Chumba cha Upasuaji, Wodi ya Kina Mama, Chumba cha kuhifadhia maiti, pamoja na kichomea Taka” Alisema Jafo.
Aliongeza kuwa Kwenye baadhi ya vituo vya Afya wamejitahidi kutumia kwa umakini Fedha hizo  na kuongeza na Njia ya Kutembelea Wagonjwa, wodi ya watoto na kufanya Ukarabati majengo ya zamani kwa gharama hiyo hiyo ya Tsh Mil 500 ambazo nyie mpaka sasa  hamjakamilisha majengo yenu”
Alimalizia kuwa ifikapo Tar. 25 Februari 2018 ujenzi wa miundombinu hii ya kituo cha Afya iwe imekamilika na nipate Taarifa kutoka kwa Mkuu wa Wilaya na ikiwezekana nitapita mwenyewe kuhakiki ubora wake.


Hivyo makala JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO

yaani makala yote JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/jafo-atoa-agizo-zito-kwa-ujenzi-kituo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO ATOA AGIZO ZITO KWA UJENZI KITUO CHA AFYA ROMBO"

Post a Comment

Loading...