Loading...
title : JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo
link : JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo
JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU baada ya kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. Pia aliwasilisha mchango wa sh milioni moja na laki tisa toka kwa wasaidizi wa Rais. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.
Hivyo makala JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo
yaani makala yote JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/jpm-na-mama-janeth-wampa-wastara-msaada.html
0 Response to "JPM na Mama Janeth wampa Wastara msaada wa pesa za matibabu tabata Sanene jijni Dar leo"
Post a Comment