Loading...
title : KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO.
link : KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO.
KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO.
Kamati ya Siasa ya chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo ziarani kukagua miradi ya maendeleo wilayani Ubungo,picha zote na John Luhende.Mwambawahabari
Kamati ya ya Siasa ya chama cha Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo leo imeanza ziara ya siku mbili kukagua miradi ya maendeleo wilayani humo.
Akizungumza wakati akitoa maelezo mfupi kabla ya kuanza kwa ziara hiyo Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Magonjwa, amesema Ilan I 229 na 230 Katiba I Bara ya 76.
Aidha amewataka viongozi wa Wilaya hiyo kutoa ushirikiano kwa Kamati hiyo nakutojisikia usumbufu kutoa majibu kwa kila Watakayo ulizwa na Kamati hiyo.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo John Lipes Kayombo ameambatana Kamati hiyo kuwa yeye pamoja na watendaji wenzake wameahidi kutoa ushirikiano na maelezo ya kina kwa kila mradi ulio katika Wilaya hiyo.
Hivyo makala KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO.
yaani makala yote KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/kamati-ya-siasa-ya-ccm-ubungo-ya-anza.html
0 Response to "KAMATI YA SIASA YA CCM UBUNGO YA ANZA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI UBUNGO."
Post a Comment