Loading...

KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

Loading...
KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI
link : KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

soma pia


KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

 Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sifuni Mchome (kulia), akiweka saini kwenye kitabu cha wageni alipowasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa ziara ya kikazi ili kuona namna Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi (Forensic Bureau) inavyofanyakazi zake pamoja kujadiliana namna yakuimarisha eneo la utoaji Haki Jinai pamoja na ubadilishanaji wa taarifa, anayefuatia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, pamoja na Maofisa wa Jeshi hilo wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sifuni Mchome (katikati), akitoa neno wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo ili kuona namna Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi (Forensic Bureau) inavyofanyakazi zake pamoja kujadiliana namna yakuimarisha eneo la utoaji Haki Jinai pamoja na ubadilishanaji wa taarifa.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sifuni Mchome (kushoto), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (wa pili kulia) na Mkemia Mkuu wa Serikali Profesa Samwel Manyele  (kulia) wakiteta jambo wakati walipokuwa kwenye moja ya ofisi ya Uchunguzi wa Kisayansi (Forensic Bureau) Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jana, ili kuona namna Kamisheni hiyo inavyofanyakazi zake. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

yaani makala yote KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/katibu-mkuu-wizara-ya-sheria-na-katiba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA PROFESA MCHOME AZURU MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI"

Post a Comment

Loading...