Loading...

KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI

Loading...
KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI
link : KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI

soma pia


KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI

*Amwambia alikuwa wa kwanza kumtabiria atakuwa  Rais 
*Amsifu misimamo yake, namna alivyorudisha nidhamu ya kazi

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii

GWIJI wa maigizo nchini Amri Athuman a.k.a Mzee Majuto, amesema anamuomba Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu Rais ,Dk.John Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania huku akielezea kufurahishwa kwake na namna ambavyo amerudisha ambavyo amerudisha nidhamu ya watu kufanya kazi.

King Majuto amefafanua wakati Dk.Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi yeye alikuwa wa kwanza kumtabiria kuwa kuna siku atakuwa Rais wa Tanzania na ndicho ambacho kimetokea na ukweli anajisikia furaha sana kutokana na utendaji kazi wa Rais na kila mtu amekuwa na adabu na anatambua nchi sasa ina viongozi.

King Majuto ametoa kauli hiyo leo akiwa Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam baada ya  Rais Magufuli kwenda kumjulia hali .King Majuto amelazwa hospitalini hapo kwa ajili ya kupata matibabu.Akizungumza mbele ya Rais Magufuli, King Majuto amesema kuwa  yeye alikuwa wa kwanza kumtabiria Dk.Magufuli kuwa akipata urais nchini itasonga na kweli sasa nchi yetu inakwenda vizuri.

"Nilitabiri huyu akiwa Rais mambo yatakucha na kweli sasa mambo yamekucha.Tumempata Rais na si masihara kwani watu wamekuwa na adabu,wanajua nini maana ya kazi na wanafanya kazi kweli.Na sisi wazee tunafarijika sasa hivi , tumepata rais si masihara na watu wanaadabu zao.

"Watu wanajua nini kazi na wanafanya kazi.Na sisi waze  tunafarijika sasa hivi leo, kama hivi viwanda vimetapakaa.Umekuwa Rais mwenye misimamamo na hiki ndicho ambacho tunajivunia maana si wote wenye misimamo.Najisia raha sana na namuomba Mungu akupe maisha marefu,"amesema King Majuto.

Wakati anaanza kuzungumza na Rais,King Majuto amesema "Uongozi wa Rais Magufuli sijui lakini Mwenyezi Mungu ampe maana kuna sehemu amezikamata haswa haswa na watu wanaelewa hii nchi ina viongozi.Sasa ni kazi tu,"Amesema kuna watu walikuwa wanaita fedha jero lakini sasa wanaiita Sh.500 na hata wale waliokuwa wanafoji vyeti ili wapate kazi lakini sasa hawana nafasi hata akiwa amefanya kazi kwa miaka 20 akibainika amefoji cheti ataondoka.

 "Yaani raha sana, mtu kafoji vyeti nje hata kama amekaa miaka 20, nafurahishwa sana na uongozi wako.Umekuwa mzazi kwetu na si kwa wasanii tu bali kwa Watanzania wote,"amesisitiza King Majuto.

Akizungumzia uongozi wa Rais Magufuli ,King Majuto amesema kuwa misimamo yake imesaidia watu kufanya kazi na kutoa mfano alipofika Muhimbili alipokelewa vizuri na madaktari na kupata vipimo na ndani ya muda mfupi tu akawa amepeta huduma."Nahisi ujio wako hapa hospitali kuna watu watakuwa wamejikojolea  kutokana na kuifahamu misimamo yako.Kwa kweli ni raha sana,"amesema King Majuto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali msanii mkongwe King  Amri Athumani maarufu kama Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018


Hivyo makala KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI

yaani makala yote KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/king-majuto-auzungumzia-uongozi-wa-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KING MAJUTO AUZUNGUMZIA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI"

Post a Comment

Loading...