Loading...

KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO

Loading...
KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO
link : KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO

soma pia


KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO

Kivuko cha serikali cha MV Misungwi, Busisi jijini Mwanza, kikitokea mjini kupeleka wananchi maeneo ya Sengerema, mkoa wa Geita. Kivuko cha MV Misungwi kina uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito wa tani 250 na ndicho kivuko kikubwa kuliko vyote katika Ziwa Victoria, kinabeba abiria 1,000 na magari madogo 36 na maroli makubwa 14.
Muonekano wa kivuko cha zamani cha MV Sabasaba kilichokuwa kikitoa huduma ya kuvusha magari na abiria katika Ziwa Victoria kikiwa kimepaki.
Kivuko cha MV Sengerema kikiwa katika gati la Busisi wilayani Sengerema kikisubili abiria kuele Kigongo Mwanza Kivuko hicho ni moja ya vivuko vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii - Geita.


Hivyo makala KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO

yaani makala yote KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/kivuko-cha-serikali-cha-mv-misungwi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO"

Post a Comment

Loading...