Loading...
title : MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M
link : MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M
MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
HOSPITALI ya J.PM imesema ujio wa madaktari wa India katika hospitali hiyo kumesaidia wananchi wa Jiji Dar es Salaam kuonana na madaktari hao, kupata vipimo na dawa kwa gharama nafuu.
Akizungumza Dar es Salaam,Mkurugenzi hospitali hiyo, Dk. Ameir Binzoo amesema huduma iliyofanyika katika hospitali hiyo kati ya Januari 19 na 20 mwaka huu imeleta matumaini kwa wananchi kuonana na madaktari wabobezi katika magonjwa mbalimbali.
Amesema madaktari hao walijikita kutoa huduma ya matibabu ya magonjwa ya moyo, mifereji ya mikojo na magonjwa ya wanawake.
Binzoo amesema wananchi wengi walijitokeza kupata huduma mbalimbali katika Hospitali ya J.P.M na kuongeza wataendelea kufanya utaratibu huo kila mara ili Watanzania wengi kupata huduma hiyo.
Mkurugenzi wa Hospitali ya J.P.M , Dk. Ameir Binzoo akizungumza na waandishi habari kuhusu huduma waliotoa kwa ushirikiano na madaktari wa India ,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Hospitali ya J.P.M, Dk. Ameir Binzoo akionesha kifaa kitakachotumika kutoa huduma za afya kwa masafa kati mgonjwa na daktari akiwa nchini India, jijini Dar es Salaam.

Hivyo makala MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M
yaani makala yote MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/madaktari-wa-india-watoa-huduma-ya.html
0 Response to "MADAKTARI WA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU HOSPITALI YA J.P.M"
Post a Comment