Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA
link : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezana na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

Sehemu ya wananchi waliohudhuria hafla fupi ya ufunguzi wa soko jipya la Konde lililopo Konde, Micheweni,Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume Pemba tayari kwa ufunguzi wa soko la Konde lililopo Wilaya ya Micheweni, Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-afungua-soko-la-konde.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA"
Post a Comment