Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR
link : MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR
MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Kigamboni wenye urefu wa mita 500. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Meneja wa Mradi na Miundo Mbinu wa UNOPS Bw. Bernard Odhuno wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Kigamboni wenye urefu wa mita 500. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi kwenye moja ya sehemu za kupumzikia pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba(kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Kigamboni wenye urefu wa mita 500. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifafanua jambo mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa bahari Ocean Road. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Ujenzi wa Ukuta wa bahari katika eneo la umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-akagua-ujenzi-ukuta.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI UKUTA BAHARI YA HINDI DAR"
Post a Comment