MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINIlink :
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kufanya mazungumzo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kufanya mazungumzoleo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-rais-akutana-na-mkuu-wa-jeshi.html
Related Posts :
Habari : Pitia Hapa Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo, 08:08:2017
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current News, Entertainment and Ad… Read More...
Biashara : MCB Yatoa zawadi kwa Washindi
Meneja wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole, (wapili kushoto)… Read More...
MASHINDANO YA MAGARI YAHITIMISHWA WILAYANI BAGAMOYO
… Read More...
Afisa wa Vijana Wilaya ya Kati Unguja Maryam Omar Rashid Akizungumza Wakati wa Kongamano la Baraza la Vijana Wilata ya Kati Unguja Dunga.
… Read More...
Matukio : Spika Mstaafu Anna Makinda atembelea banda la Benki ya DCB katika maonyesho ya nane nane Dodoma Spika Mstaafu Anna Makinda ameipongeza DCB Commercial Bank kwa huduma bora za kibenki inayotoa hasa huduma za mikopo kwa wajasirimali wadogo wadogo na kuwakwamua katika hali ya umasikini. Makinda amewaasa DCB Commercial Bank kujikita zaidi kutoa huduma hii kwa wajasiriamali wadogo wadogo vijijini ambao ndiyo wengi nchini ili kuboresha hali za maisha yao kwa kuwapatia mikopo. Hayo aliyasema wakati alipotembelea banda la DCB Commercial bank katika maonesho ya nane nane kanda ya kati yanayoendelea mkoani Dodoma. Makinda aliongezea kuwa ili kuwezesha wajasiriamali wengi DCB Benki haina budi kupeleka huduma hii ya mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo wadogo vijijini ambako kuna uhitaji mkubwa wa huduma hii ya mikopo ya vikundi Sambamba na utoaji wa mikopo hii ya vikundi kwa wajasiriamali wadogo wadogo. Makinda ameasa DCB kuwaunganisha wajasiriamali hawa na huduma ya bima ya afya kutoka NHIF na pia bima ya taifa ya Jamii ili wateja hawa au familia zao wanapougua wapate msaada wa matibabu kwa unafuu hivyo kuwafanya wawe na afya na kuweza kurejesha mikopo . Alisisituza kuwa mteja akiugua ile pesa ya marejesho ataitumia katika kugharamia matibabu hivyo kuitia hasara benki, kumbe akijiunga na mifuko ya afya ya jamii atapata matibabu bure hivyo benki haitaathirika. Alisema makinda. Akimkaribisha kwenye banda na kuelezea huduma zinazotolewa na DCB Commecral Bank, Meneja masoko wa DCB benki Boyd Mwaisame alitaja huduma za DCB zinazopatikana katika banda la benki hiyo viwanja vya maonesho nane nane Mzuguni Dodoma kuwa ni pamoja na kufungua akaunti za kuweka akiba kwa watu binafsi, akaunti za wanafunzi, akaunti za muda maalumu, akaunti za biashara na huduma za mikopo kwa wajasiriamali wadogo, wakati na wakubwa. Mteja akisha fungua akaunti ya akiba na biashara anunganishwa bure na huduma ya DCB Pesa, huduma mpya ya kufanya miamala ya benki kupitia simu ya mkononi, yaani kuweka na kutoa pesa na kulipia bili mbalimbali. Huduma hii si lazima mteja awe na akunti DCB, bali mtu yeyote mtaani anaweza kujiunga mradi tu awe na namba yoyote ya simu ya mkononi iliyosajiliwa na mojawapo ya kitambulisha cha mpiga kura, utaifa, udereva na paspoti. Huduma hii inapatikana kwa kupiga *150*85#. Pia Meneja masoko alimueleza Mh. Makinda kuwa huduma za DCB Commercial Bank mbali na Dar es Salaam kwa sasa pia zinapatikana mkoani Dodoma kupitia tawi lake lilifunguliwa hivi karibuni katika jengo la LAPF mtaa wa Makole na mikoa mbali mbali kupitia huduma ya uwakala wa benki yaani DCB Jirani. Naye afisa wa benki Cecilia Msikula akimuelezea Mh. Makinda huduma ya akiba ya watoto akaunti za watoto –Young saver account ambayo alivutiwa sana nayo hasa Meli ya mtoto, alisema kuwa DCB inatoa huduma hii bila makato ya mwezi ambapo mteja akisha fungua akaunti ya mtoto kwa shi. 5,000 tu anapewa Meli ya Mtoto/ kibubu bure kumjengea mtoto utamaduni wa kujiwekea akiba akiwa bado mdogo kwa ajili ya matumizi yake ya baadaye. Pesa ikisha jaa kwenye Meli ya mtoto yaani kibubu mzazi analeta benki kwa ajili ya kuziweka kwenye akaunti ya mtoto baada ya kuzihesabu. Katika msafara huo, Spika mstaafu Makinda aliongozana na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Mpwawa Mh. Jabir Shekimweri. Spika Mstaafu Anna Makinda akikaribishwa na Mkuu wa Masoko wa benki ya kibiashara ya DCB Boyd Mwaisame katika banda lao katika Maonesho ya Nane nane yanaoendelea Mkoa wa Dodoma. Spika Mstaafu Anna Makinda akisoma moja ya kipeperushi cha benki ya DCB katika banda lao katika Maonesho ya Nane nane yanaoendelea Mkoa wa Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Masoko wa benki ya kibiashara ya DCB Boyd Mwaisame Wananchi wakipatiwa huduma katika banda la benki ya DCB katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Mkoani Dodoma.
Spika Mstaafu Anna Makinda ameipongeza DCB Commercial Bank kwa huduma bora za kibenki inayotoa hasa huduma za mikopo kwa wajasirimali wadog… Read More...
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI"
Post a Comment