Loading...

MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA

Loading...
MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA
link : MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA

soma pia


MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA

  MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh akitoa maelezo ya bidhaa za kampuni yake katika Maonesho ya Tamasha la Nne la Biashara Zanzibar linalofanyika katika viwanja vya mpira maisara.(Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea maonesho Tamasha la nne la Biashara katika viwanja vya mpira vya maisara Zanzibar akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha ZAIDAT cha Chukwani Tatu Suleiman, wakati akitembelea maonesho hayo.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha ZANAP Nassor Hamad Omar, akitowa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kikundi chao wakati wa maoenesho ya Biashara katika viwanja vyaa maisara Zanzibar.
 WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amani Salum Ali akizungumza wakati wa Kongamano la Afya na Maisha Bora, wakati wa Tamasha la Nne la Maenesho ya Biashara katika viwanja vya maisara Zanzibar.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA

yaani makala yote MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mama-shein-afungua-kongamano-la-afya-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA"

Post a Comment

Loading...