Loading...
title : MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimfafanulia jambo Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida (kulia) wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japan. Katikati ni Msaidizi wa Balozi huyo, Takashi Ban.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Japan nchini, Masaharu Yoshida wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japan. Katikati ni Msaidizi wa Balozi huyo, Takashi Ban. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hivyo makala MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/masauni-afanya-mazungumzo-na-balozi-wa.html
0 Response to "MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN, JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment