Loading...
title : Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam
link : Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam
Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumanne Januari 9, 2018. Hii ni mara ya kwanza kwa wawili hao kukutana kwa mazungumzo rasmi Ikulu tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Rais Oktoba 2015.
PICHA IKULU
Hivyo makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/matukio-rais-dk-magufuli-akutana-na.html
0 Response to "Matukio : Rais Dk. Magufuli Akutana na Kuongea na Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu, Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment