Loading...

Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi

Loading...
Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi
link : Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi

soma pia


Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi






Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya mawasiliano ya Kmpyuta kwa jeshi hilo.


Gwaride la Heshima lililoandaliwa kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alipowasili katika viwanja hivyo kutoa msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta.



Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaroo,Anna Mghwira akipokea Salamu ya Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akiongozwa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoa wa Kilimanjaro,Edson Mwalutende kukagua Gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake.


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta.



Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah akimuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira mara baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi .kulia ni Afisa Mnadhimu wa jeshi la Polisi daraja la kwanza ,Kamishna Mwandamizi Msaidizi ,Koka Moita.






Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Polisi wa ngazi mbalimbali za vyeo kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta.

Afisa Mnadhimu wa jeshi la Polisi daraja la kwanza ,Kamishna Mwandamizi Msaidizi ,Koka Moita akizungumza wakati wa ukaribisho wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro katika uwanja

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi,Hamis Issah akitoa neno la shukrani la utangulizi kwa msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta ambazo zitagawiwa katika vituo vya Polisi vya wilaya za mkoa wa Kilimanjaro.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akizungumza kabla ya kukabidhi msaada huo.


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akimkabidhi Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta kwa ajili ya ofisi za jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro.



Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah akikabidhi vifaa hivyo kwa Wakuu wa Polisi wa wilaya mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira.
Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.


Hivyo makala Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi

yaani makala yote Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/matukio-rc-kilimanjaro-akabidhi-vifaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : RC Kilimanjaro Akabidhi Vifaa vya Mawasiliano ya Kampyuta kwa Jeshi la Polisi"

Post a Comment

Loading...