Loading...
title : Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae
link : Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae
Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae
Bi Flora Liberia (33) akiwa yupo na mwanae Samweli Amos miaka (2)akiwa nyumbani kwake Maili 35 kata ya Visiga Halmashauri ya mji wa Kibaha mkoa wa Pwani.Picha na Vero Ignatus Blog.
Na.Vero Ignatus Pwani.
MKAAZI wa eneo la Maili 35 Kata ya Visiga katika Halmashauri ya Kibaha Mjini Bi Flora Liberia (30) ameelezea masikitiko yake kutokana na kutaabika na ulezi wa mtoto wake Amos Samwel mwenye umri wa miaka miwili na nusu ambaye tangu alipozaliwa viungo vyake havijakaza, hali iliyosababisha kukumbana na muuguzi aliyedai kuwa ni mfanyakazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambaye amekuwa akimlaghai na kutumia fedha zake kwa madai kuwa atamsaidia kumpatia matibabu mtoto huyo.
Ameongeza kwa kusema yeye hana ajira hivyo hulima vibarua vinavyomuwezesha kupata ujira mdogo ambao hujichangisha ili aweze kumpatia matibabu mtoto wake, ambaye tangu alipomzaa viungo vyake havijawahi kuwa imara kama ilivyo kwa watoto wengine anazungumza hayo kwa masikitiko .
Bi Flora ameomba msaada kutoka kwa Waziri mwenye dhamana Mheshimiwa Ummy Mwalimu ili kuweza kuokoa maisha ya mtoto wake.
Mtoto Samweli Amos miaka( 2) alizaliwa 2015 1/3 Zahanati ya mlandizi iliyopo Kibaha mkoa wa Pwani,akiwa ameketishwa katika kiti walichotengeneza wazazi kwa ajili ya kumketisha mtoto huyo kama inavyoonekana hapo.Picha na Vero Ignatus Blog.
Wa kwanza kushoto ni baba mzazi wa mtoto samweli ,Amos Hussein (39 mwenyeji wa Morogoro katikati ni Samwel Amos (2) wa kwanza kulia ni mama yake Flora Liberia (33 ) mwenyeji wa Kigoma,ila kwa sasa wanaishi mtaa mail 35 kata ya Visiga Halmashauri ya mji wa Kibaha mkoa wa Pwani.Picha na Vero Ignatus Blog.
Hivyo makala Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae
yaani makala yote Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mkazi-maili-35-amuomba-waziri-wa-afya.html
0 Response to "Mkazi maili 35 amuomba waziri wa afya msaada aokoe maisha ya mwanae"
Post a Comment