Loading...

MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO

Loading...
MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO
link : MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO

soma pia


MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO

Na Joel Maduka-Chato. 

Mkazi wa kijiji cha Minkoto Wilaya ya Chato Mkoani Geita Bw Hoja Kasumbakabo ( 25) anatuhumiwa kumuua mke wake Spensioza Petro (22) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali mwilini na kisha kumnyonga mtoto Brison Hoja mwenye umri wa miezi mitatu kisha kutokomea kusikojulikana.

Mwenyekiti wa kijiji hicho leo Nkwabi amesema tukio hilo limetokea Januari  24,2018 kuamkia Januari 25 ,kwenye kijiji hicho ambapo ilibainika miili kuonekana chini ya Sakafu ndani ya chumba walichokuwa wanaishi huku mwili wa mwanamke huyo ukiwa na majeraha sehemu ya kooni, mgongoni na tumboni huku utumbo ukiwa nje.

Mzazi wa marehemu Mzee Petro Lusaga ameelezea kusikitisha na tukio hilo na kwamba hakuwahai kuwaona marehemu na mumewe wakiwa na ugomvi kwani kwa kipindi chote walikuwa wakiishi kwa amani bila ya kuwa na malumbano wala kelele zozote ndani ya familia yao. 
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye eneo ambalo kumetokea tukio. 
Jirani wa Familia ambapo kumetokea mauaji Bi,Mariam Shija akizungumza na waandishi wa habari kwa masikitiko juu ya tukio hilo. 
Diwani wa Kata Minkoto , Bw Geroge Magezi akiwasisitiza wananchi kushiriana na jeshi la Polisi kwenye suala la ulinzi na usalama. 
Dk Masanja Mchanganya anayetokea kituo cha afya cha Bwanga akielezea namna ambavyo wamebaini mwili wa marehemu majeraha yaliyopo baada ya kufanya uchunguzi.





Hivyo makala MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO

yaani makala yote MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mme-atuhumiwa-kumuua-mke-na-mtoto-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MME ATUHUMIWA KUMUUA MKE NA MTOTO WAKE WILAYANI CHATO"

Post a Comment

Loading...