Loading...
title : Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY
link : Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY
Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY
Tupia vazi la Pink,Peach ama Red kuendana na siku yenyewe halafu tukutane DIAMOND JUBILEE HALL tarehe 03 - 02 - 2018,kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku.
kutakuwa na maonyesho ya bidhaa za kijasiriamali,maonyesho ya mavazi,elimu ya mwanamke kujitambua bila kusahau michezo ya wototo.
Kiingilio ni Tshs.5000/= tu.( toka na ziada tuunge mkono bidhaa za kitanzania).
Kwa wajasirimali nafasi yako ya kuongeza wigo wa wateja kibanda cha kuuzia bidhaa zako utakipata kwa Tshs.50,000/=
Kwa mawasiliano zaidi.
0655 445105
Instagram:@pink_hijabtz.
Hivyo makala Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY
yaani makala yote Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mwanamke-wa-kiislam-na-yeyote-unaependa.html
0 Response to "Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya PINK HIJAB DAY"
Post a Comment