Loading...
title : MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM
link : MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM
MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM
Mwili wa Athumani Hamisi Msengi kumaliza ukiwa nyumbani kwake mara baada kuswaliwa Sinza Madukani.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt.Jim James Yonas akizungumza jambo mara baada ya mwili wa Athumani Hamisi Msengi kumaliza kuswaliwa swala ya Ijumaa Nyumbani kwake Sinza Madukani leo jijini Dar Es Salaam.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadj Mussa Salum akizungumza jambo nyumbani kwa marehemu leo jijini Dar es Salaam
Kaka mkubwa wa marehemu Dkt Ibrahim Msengi akizungumza jambo mara baada ya mwili wa mdogo wake Athumani Hamisi Msengi kumaliza kuswaliwa swala ya Ijumaa Nyumbani kwake Sinza Madukani leo jijini Dar Es Salaam.
Mwili wa Athumani Hamisi Msengi kumaliza ukipandishwa kwenye gari kuelekea kwenye makaburi ya Kisutu mara baada ya kuswaliwa swala ya Ijumaa Nyumbani kwake Sinza Madukani leo jijini Dar Es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM
yaani makala yote MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mwili-wa-marehemu-athuman-hamisi-msengi.html
0 Response to "MWILI WA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI MSENGI WAZIKWA LEO KISUTU DAR ES SALAAM"
Post a Comment