Loading...

NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA

Loading...
NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA
link : NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA

soma pia


NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza katika Mkutano na wananchi wa Kata ya Kiwangwa kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu kuzungumza na Wananchi wa kata hiyo, kuhusu mipango ya kupeleka Nishati ya Umeme Vijijini. 
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu alifafanua juu ya Mabadiliko ya bei za umeme kufuatia taarifa kuwa bei zimebadilika toka Elfu 27 hadi Shilingi 180,000. alisema kuwa hakuna mabadiliko katika bei, hivyo wananchi wa kata hiyo wasiwe na wasiwasi na hakuna kitongoji kitakachoachwa kupatiwa umeme hasa maeneo yenye mahitaji maalum kama Hospitali, shule na kwenye shughuli za kijamii kama ofisi za kuhudumia wananchi.
Sehemu ya Wananchi wa moja ya vitongoji vya Kata ya Kiwangwa, wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/naibu-waziri-mgalu-awatoa-hofu-ya-bei.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI MGALU AWATOA HOFU YA BEI YA UMEME WANANCHI WA KIWANGWA"

Post a Comment

Loading...