Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI
link : NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI
NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI
Naibu waziri wa ujenzi ELIAS KWANDIKWA amemwagiza mkandarasi anayejenga daraja la RUHUHU liliopo lituhi wilayani nyasa mkaoni ruvuma ambalo pia linganisha mkoa wa LUDEWA kukamilisha kwa wakati ili kupisha shughuli za maendeleo zinazofanywa na wananchi katika maneneo hayo. Naibu waziri kwandikwa amesema hayo mara baada ya kukagua ujenzi wa daraja hilo na kuridhishwa na hali ya ujenzi unaofanya na kampuni ya lukolo HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/naibu-waziri-wa-ujenzi-amtaka.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA DARAJA KWA WAKATI"
Post a Comment