Loading...

POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

Loading...
POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE
link : POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

soma pia


POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, Kinondoni Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018.

 Shughuli hiyo itafanyika siku ya Jumamosi January 27, 2018  katika viwanja vya Posta vilivyopo Sayansi,  Kijitonyama. Shughuli hii itanzaa saa 12 asubuhi mpaka usiku.

Siku hiyo kutakuwa na mazoezi ya kukimbia(Jogging) ambayo itaanza alfajiri ya saa 12, na kufuatiwa na mazoezi ya Aerobics, Steps, Zumba, Mpira wa miguu, na michezo mingine kama kuvuta Kamba, Kukimbiza Kuku nk.

Baada ya mazoezi, kutakuwa na burudani kabambe ya muziki itakayoongozwa na bendi ya Skylight bila kusahau burudani ya muziki itakayoporomoshwa na Ma DJ wakali wa hapa nchini.
Siku hiyo pia kutakuwa na Nyama choma itakayoandaliwa kiufundi na wapishi waliobobea, Supu bila kusahau vinywaji vya kila aina. 

Wadahamini wa shughuli hiyo ni Kampuni ya JSP Marketing Link Limited ikishirikiana na Msouth Company, Dagaa Microfinance Limited, Simba Makini Group, Jaina Ice Cubes, Micgen Insurance Brokers, TTCL na wenyeji Power on Fitness Gym.


Hivyo makala POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

yaani makala yote POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/power-on-fitness-gym-kuukaribisha-mwaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE"

Post a Comment

Loading...