Loading...
title : Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing
link : Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing
Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo K.V.Thomas jinsi ya kuhifadhi samaki na ufanyaji wa peki kwa ajili ya kusafirisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya utayarishaji wa Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya Nchi na katika Soko la ndani akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya picha katika gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya picha katika gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa mfano Jahazi na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea kiwanda hicho.
Hivyo makala Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing
yaani makala yote Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/rais-shein-atembelea-kiwanda-cha-samaki.html
0 Response to "Rais Shein Atembelea Kiwanda Cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing"
Post a Comment