Loading...

RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI.

Loading...
RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI.
link : RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI.

soma pia


RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI.



Na Tiganya Vincent

JESHI la Polisi Mkoa wa Tabora linakabiliwa na uhaba wa nyumba za kuishi Askari wake jambo linalowafanya wengi kupanga uraini ambapo sio salama kulingana na shughuli zao.

Kauli hiyo ilitolewa jana mjini hapa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Wilbroad Mtafungwa wakati wa hafla fupi ya sifa na zawadi kwa askari Polisi vyeo mbalimbali mkoani humo waliotumia Jeshi hilo kwa weledi na nidhamu.

Alisema kuwa ambazo wanaishi Maaskari ni kongwe na chakavu ambapo zinahitaji ukarabati mkubwa na kujengwa mpya ambazo zitasaidia Askari waliopanga uraiani kuondoka huko na kuisha katika nyumba hizo.

SACP Mtafungwa alisema kuwa Askari wanaoishi kambini hivi sasa ni 327 na waliopo uraiani ni 853 na hivyo kufanya Askari wengi kuwa uraiani.Kufuatia hali Kamanda huyo wa Mkoa aliwaomba wadau mbalimbali kujitokeza kusaidia Jeshi la Polisi ili liweze kupata makazi katika maeneo yao maalum ili waweze kufanyakazi kwa ufanisi wa hali ya juu zaidi.

Alisema kuwa kama wanavyochangia katika Ujenzi wa Vituo mbalimbali vya Polisi ni vema wakachangia pia ujenzi wa nyumba kwa ajili ya makazi ya Polisi ili kuondoa tatizo la ukosefu wa nyumba kwao.



Hivyo makala RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI.

yaani makala yote RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/rpc-tabora-awaomba-wadau-kusaidia_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RPC TABORA AWAOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI NYUMBA ZA MAKAZI YA POLISI."

Post a Comment

Loading...