Loading...

SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI

Loading...
SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI
link : SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI

soma pia


SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amesema Serikali ya Rais Magufuli kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji imetoa kipaumbele kwa viwanda vya ndani vinavyozalisha bidhaa zinazotumika kutekeleza miradi mikubwa ya maji inayoendelea kujengwa nchini kote.
Aweso ametoa kauli hiyo mjini Kahama alipotembelea kiwanda cha Kahama Oil Mills, mkoani Shinyanga ambacho moja ya shughuli zake ni kutengeneza mabomba na vifaa mbalimbali vinavyotumika kutekeleza miradi ya maji na kutoa angalizo kwamba ni lazima viwanda vya ndani vizingatie ubora wa bidhaa zao na kukidhi mahitaji halisi ya miradi yote ya maji nchini.
‘‘Hatuna sababu ya kutotumia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vyetu vya ndani, maadamu vinazingatia ubora wa bidhaa inazozalisha na kukidhi mahitaji ya nchi yetu. Serikali ya Rais Magufuli imetoa kipaumbele kwa wazalendo nchini, hivyo tumieni fursa hii na kutomuangusha,’’ alisema Aweso.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akipokea maelekezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Kiwanda cha Kahama Oil Mills, Jiten Divecha (kulia) ambacho moja ya shughuli zake ni kuzalisha vifaa vya maji kilichopo wilayani Kahama, mkoani Shinyanga alipotembelea kiwandani hapo.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akihakiki ubora wa maji yanayozalishwa na mradi wa pamoja (Joint Water Partnership Project) unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu na halmashauri za wilaya ya Shinyanga na Msalala kwa mkoa wa Shinyanga na Nyangh'wale kwa Mkoa wa Geita.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Kakola ambacho ni miongoni mwa vijiji 13 vitakavyonufaika na mradi wa pamoja (Joint Water Partnership Project) unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu na halmashauri za wilaya ya Shinyanga na Msalala kwa mkoa wa Shinyanga na Nyangh'wale kwa Mkoa wa Geita.
 Baadhi ya mabomba yanayozalishwa na Kiwanda cha Kahama Oil Mills kilichopo wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA 


Hivyo makala SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI

yaani makala yote SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/serikali-kuvipa-kipaumbele-viwanda-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUVIPA KIPAUMBELE VIWANDA VYA NDANI VINAVYOZALISHA YA VIFAA VYA MAJI"

Post a Comment

Loading...