Loading...

SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII

Loading...
SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII
link : SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII

soma pia


SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII

 Kaimu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba (wa tatu kulia)akifungua kikao baina ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs ) na Serikali kilicholenga kujadili mpango wa pamoja katika utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, kilichofanyika Makao Makuu Dodoma tarehe 30.1.2018.
 Katibu wa kikao cha ushirikiano baina ya Serikali na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) Bi. Tausi Mwilima (kulia)akisoma Muhtasari wa kikao kilichopita kwa wajumbe wakati wa kikao cha pamoja moja kilicholenga kujadili mpango shirikishi wa utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii ili kuharakisha Maendeleo na Ustawi wa Jamii.
  Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike(kulia) akiwasilisha taarifa fupi juu ya Mpango wa Kuamsha Ari ya wananchi kujitolea katika kufanya shughuli za maendeleo wakati wa kikao kati ya wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali(NGOs )na Serikali kilicholenga kujadili mpango shiriki na endelevu wa utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya  Maendeleo ya Jinsia Bi. Slyvia Siriwa(kulia) akiwasilisha mada kuhusu uwezeshwaji wa wanawake kiuchumi na utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto wakati wa kikao kati Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Serikali kilicholenga kujadili mpango ushiriki wa utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII

yaani makala yote SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/serikali-mashirika-yasiyo-ya-kiserikali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI, MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAJADILI MPANGO UTEKELEZAJI SERA IDARA MAENDELEO YA JAMII"

Post a Comment

Loading...