Loading...

SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA

Loading...
SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA
link : SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA

soma pia


SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imekataza kilimo cha pamba cha mkataba kwa sababu kinawanyonya wakulima.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Januari 19, 2018) wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua zahanati ya Hunyari wilayani Bunda, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mara.

“Ni marufuku kwa wanunuzi wa pamba kulima pamoja na wakulima kwa sababu wakulima wanakosa uamuzi wa kupanga bei. Kuanzia sasa zao hilo litauzwa kwa njia ya mnada.”Amesema Serikali imeweka mkakati wa kuimarisha mazao makuu ya biashara ambayo uzalishaji wake umeanza kupungua likiwemo na zao la pamba.Waziri Mkuu amesema Serikali imeamua kushiriki kikamilifu katika usimamizi wa kilimo cha zao la pamba kuanzia hatua za maandalizi ya shamba, pembejeo hadi masoko.

Pia Waziri Mkuu amewaagiza Maofisa Kilimo katika wilaya hiyo wawafuate wakulima vijijini kwa ajili ya kutoa elimu itakayowawezesha wakulima kulima kwa kufuata njia bora za kisasa.Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewataka wafugaji kuhakikisha wanakuwa na idadi ya mifugo kulingana na uwezo wa eneo lao.“Marufuku kulisha mifugo katika mashamba ya watu.”

Amesema Serikali itachukua hatua kali za kisheria kwa mfugaji yeyote atakayelisha mifugo yake katika mashamba ya wakulima kwani tabia hiyo huchangia migogo baina yao.


IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU
IJUMAA, JANUARI 19, 2018.


Hivyo makala SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA

yaani makala yote SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/serikali-yakataza-kulima-pamba-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAKATAZA KULIMA PAMBA KWA MKATABA-MAJALIWA"

Post a Comment

Loading...