Loading...

SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO

Loading...
SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO
link : SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO

soma pia


SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO

Sisi, Familia ya Mrs Bdariya Ramadhan Kiondo (Aliekuwa Afisa waMambo ya Nje Mkuu na Mkuu wa Utawala na Fedha katika Ubalozi wa Tanzania New Delhi, India, tunamshukuru Mungu kwa zawadi aliotupa kwetu kama Mke,Mama,Bibi, Shangazi ,Ndugu na kwa mwili wa kumcha Mungu.
Tunashukuru kwa upendo mkuu,kwa kushiriki nasi katika kumsindikiza mpendwa wetu katika nyumba yake ya milele tarehe 15 Desemba  2017.Tunapenda kuwashukuru marafiki,ndugu, Wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Watumishi wenzake katika Ubalozi wa Tanzania Nchini New Delhi,India, marafiki na Ndugu wote kutoka Nchi mbali  mbali Duniani,(hasa India,,Uingereza, Uholanzi, Canada, Oman UAE na USA).
Shukran za pekee pia ziwafikie Madaktari wake wote katika Hospitali ya Apollo New Delhi,Mwambata Tiba katika Ubalozi wetu New Delhi kwa juhudi kubwa waliofanya katika matibabu yake, Viongozi Wakuu mbali mbali Serikalini,Balozi na Wafanyakazi wa Ubalozi wetu New Delhi India,Uongozi na wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki,Majirani wa Kiondoni Ada Estate flats, ndugu na jamaa wote kutoka Zanzibar,Tanga na Msikiti wa Al Maamur ,Upanga Dar es salaam. Asanteni Sana.
Kisomo cha 40 ya Marehemu kitakuwa  tarehe 27 January 2018 huko Mkwajuni, Kivunge Kijijini, kwa Foum Kimara, Zanzibar baada ya Swala ya Adhuhuri (Saa saba mchana). Wote mnakaribishwa kushiriki nasi.
Ni vigumu kumshukuru kila mmoja kwa majina tunaomba mlioshiriki kwa namna moja au nyingine mpokee shukrani  zetu hizi za upendo kwa kuwa nasi katika kipindi hiki kigumu.
Tunaendelea kuomba Roho ya mpendwa wetu “B”ipumzike kwa Amani na utakuwa nasi daima milele Amen.

Pumzika kwa Amanai Mpendwa wetu.                                    
Innalilah wainailah rajiun.


Hivyo makala SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO

yaani makala yote SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/shukurani-toka-kwa-familia-ya-marehemu_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO"

Post a Comment

Loading...