Loading...

SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI

Loading...
SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI
link : SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI

soma pia


SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI

 Kocha  mkuu wa Simba SC, Pierre  Lechantre  katikati na kushoto ni kocha Msaidizi  Masoud Djuma wakipeana maelekezo katika mazoezi  hayo kulia ni Meneja wa Simba SC, Robert Richard Uwanja wa Bandari Temeke Jijini Dar es Salaam.
 Wachezaji SimbaSc wakiwa kwenye mazoezi ya kujifua kukabiliana na mchezo wao wa raundi ya 16 dhidi ya Wanalizombe MajimajiFc utakaochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili hii majira ya Saa 10 jioni.
Mchezaji wa Simba SC, Shomari Kapombe akifanya mazoezi ya kujifua kwa akili ya mchezo wao wa raundi ya 16 dhidi ya MajimajiFc yenye makzi yake Mkoani Ruvuma leo katika Uwanja wa Bandari uliopo Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI

yaani makala yote SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/simba-sc-wajinoa-uwanja-wa-bandari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA SC WAJINOA UWANJA WA BANDARI"

Post a Comment

Loading...