Loading...

TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA.

Loading...
TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA.
link : TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA.

soma pia


TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA.







Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar Khamis Abdul-Rahman Msham akiwasilisha Takwimu za Bei kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.

 Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA Dk,Suleiman Msaraka akitoa ufafanuzi wa Takwimu za Bei  kwa Waandishi wa Habari kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei  kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanzibar.
Meneja wa Uchumi Benki Kuu Tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Madeshi Hugobi katikati akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei  kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanziba.kulia yake ni Mhadhiri wa Uchumi Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA Dk,Suleiman Msaraka na kushoto yake ni Mkuu wa Idara ya Takwimu za kiuchumi Zanzibar Abdul Ramadhan Abeid.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Takwimu za Bei  kwa mwezi wa Novemba na Disemba ambapo zimeoneka kupanda kutoka asilimia 5.0 hadi 5.9 hafla iliofanyika katika Ofisi ya Takwimu Mwanakwerekwe Zanziba.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA.

yaani makala yote TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/takwimu-za-bei-kwa-mwezi-wa-novemba-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAKWIMU ZA BEI KWA MWEZI WA NOVEMBA NA DISEMBA ZATOLEWA."

Post a Comment

Loading...