Loading...

UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA

Loading...
UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA
link : UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA

soma pia


UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA



Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa homa ya Chikuganya ambao umeripotiwa na vyombo vya habari kutokea jijini Mombasa nchini Kenya.


Taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu imesema kuwa mpaka sasa Shirika la Afya Duniani (WHO) bado haijatoa taarifa rasmi lakini wao wanaotoa taadhari kuzingatia muingiliano mkubwa wa watu baina ya nchini hizi mbili Kenya na Tanzania. 

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya wanasema kuwa ugonjwa wa Chikunganya unasababishwa na kirusi ambacho kinaenezwa mbu wa aina ya Aedes na kusema ugonjwa huu si mgeni nchini Tanzania kwani ulishawahi kutokea. 


Hivyo makala UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA

yaani makala yote UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/unaufahanu-ugonjwa-wa-chikuganya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UNAUFAHANU UGONJWA WA CHIKUGANYA? SOMAHAPA"

Post a Comment

Loading...