Loading...
title : WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017)
link : WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017)
WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017)
Bwana. Hamisi Kambona na Mkewe Bibi. Hawa Salimu wakiwa katika hafla fupi ya kuadhimisha miaka hamsini (50) ya ndoa yao iliyofanyika Disemba 30, 2017 nyumbani kwake Mkoani Morogoro. Bwana. Hamisi Kambona na Bibi. Hawa Salimu walifunga ndoa mwaka 1967. Watoto, Marafiki, Ndugu na Jamaa wanawapongeza sana, wanawatakia heri nyingi na Mungu aendelee kuwabariki.
Hivyo makala WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017)
yaani makala yote WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wadau-wapongezwa-kwa-kutimiza-miaka-50.html
0 Response to "WADAU WAPONGEZWA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 YA NDOA ( 1967-2017)"
Post a Comment