Loading...

WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU

Loading...
WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU
link : WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU

soma pia


WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU


Nteghenjwa Hosseah,Kibiti.

Wananchi wa Kata ya Mbuchi Tarafa ya Mbwera Wilayani Kibiti kwa kipindi kirefu wametaabika na adha ya kukosa Daraja linalounganisha vijiji hivyo viwili vyevye wakazi zaidi ya elfu 24.

Kukosekana kwa Daraja hilo kumepelekea kukatika kwa mawasiliano ya Uhakika baina ya wananchi wa Mbuchi na wale wa upande wa Pili wa Bwera, kuongeza gharama za maisha na hata kupelekea maafa kwa wakina mama wanaojifungua na wagonjwa kwa sababu ya kukosa njia rahis na nafuu ya kuwafikisha katika huduma za Matibabu.

Vijiji hivyo ambavyo vimetengenishwa na Mto Mberambe ambao ni Tawi la Mto Rufiji na kutengeneza Delta ya Kaskazini tangu kuanzishwa kwake havijawahi kuwa na Daraja la kuwaunganisha katika shughuli zao za kila siku za kila siku za kujiletea Maendeleo.

Wananchi wa maeneo haya wamekuwa wakitumia Mitumbwi kuwavusha kutoka eneo moja hadi Lingine na huku wakitozwa Tsh 200 kwa safari moja na Pikipiki kutozwa Tsh 1000 kwa safari; Huduma hiyo hupatikana kuanzia saa kumi ba mbili asubuh hadi saa kumi na mbili jioni.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng.Evarist Ndikilo na viongozi wengine wa Mkoa huo wakati wa ziara yake ya kuweka jiwe la msingi katika Daraja la Mbuchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akimpa MKandarasi maelekezo juu ya umuhimu wa daraja la Mbuchi kukamilika kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu kutokana na hali adha wanayoipata wananchi wa maeneo hayo kwa hivi sasa.
Hawa ni wananchi wa kijiji cha Mbwera wakivuka kwa kutumia Mtumbwi kuja kijiji cha Mbuchi kwa ajili ya shughuli mbalimbali hii ni kutokana na kukosekana kwa daraja linalounganisha vijiji hivyo lakini kwa sasa Ujenzi wa daraja hilo umeanza na utakamilika baada ya mwaka mmoja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akimskiliza Meneja wa Tarura Wilaya ya Kibiti kuhusu maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Mbuchi.



Hivyo makala WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU

yaani makala yote WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wananchi-wa-buchi-bwera-kupata-daraja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WA BUCHI-BWERA KUPATA DARAJA LA KUDUMU"

Post a Comment

Loading...