Loading...
title : WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA
link : WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA
WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, kwenye Hoteli ya Radisson Blue, mjini Addis Ababa, wakati akiondoka kurejea Dar es salaam, kushoto ni Mke wa Salim Ahmed salim, Amne Salim.Waziri Mkuu alikua Ethiopia kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiagana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani, ndani ya ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa wanarejea kutoka kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja AU, Januari 30, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, nje ya ndege ya shirika la Ethiopian Airline, wakati akiwasili kutoka kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja AU, Januari 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuu-arejea-nchini-akitokea.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI AKITOKEA ETHIOPIA"
Post a Comment