Loading...

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

Loading...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA
link : WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

soma pia


WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la mto Mara linalounganisha wilaya za Tarime na Serengeti akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 18, 2018. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuweka jiwe la msingi la daraja la mto Mara linalounganisha wilaya za Serengeti na Tarime Januari 18, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege , Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mara, Samweli Kiboyi, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na Mkuu wa wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimwagilia mti alioupanda baada ya kuweka jiwe la musing la ujenzi wa daraja la mto Mara linalounganisha wilaya za Tarime na Serengeti akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara, Januari 18, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguma na wananchi wa Kijiji cha Nyamwaga wilayani Tarime akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara , Januari 18, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-mkuu-aweka-jiwe-la-msingi-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA MTO MARA"

Post a Comment

Loading...