Loading...

Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele.

Loading...
Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele.
link : Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele.

soma pia


Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele.

 Kaim Mkurugenzi wa Taasisi yaUtafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo Mkoani Mtwara Dkt Omar Mponda akitoa maelezo kwa Waziri wa Kilimo Dkt.Charles Tizeba kuhusiana na Mbegu za Muhogo ambazo zinazalishwa na Taasisi ya Hiyo.

Jumla ya miche ya Mikorosho Million10 imezalishwa na  Taasisi ya utafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania CBT kwa ajili ya kusambaza katika mikoa yote inayozalisha Zao la korosho.
 Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa wadudu na Magonjwa wa Zao la Korosho Taasisi ya NALIENDELE Dr.Wilson Nene aliyevalia Tishet Nyeupe wakati waziri wa Kilimo Dr.Tizeba alipofanya Ziara katika Taasis Hiyo.
 Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba akioneshwa Shamba la Mfano la  Karanga lililopo Taasisi ya Utafiti ya Kilimo NALIENDELE Iliyopo Mkoani Mtwara.
Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa wadudu na Magonjwa wa Zao la Korosho Taasisi ya NALIENDELE Dr.Wilson Nene aliyevalia Tishet Nyeupe wakati waziri wa Kilimo Dr.Tizeba alipofanya Ziara katika Taasis Hiyo.


Hivyo makala Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele.

yaani makala yote Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-wa-kilimo-dkttizeba-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Kilimo Dkt.Tizeba atembelea Taasis ya Naliendele."

Post a Comment

Loading...