Loading...

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA

Loading...
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
link : WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA

soma pia


WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA

NA MWANAHAMISI MSANGI, WMVU 

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imeunda timu ya wataalamu 15 iliyopo katika mikoa 26 ya Tanzania bara ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Mifugo) Dk. Maria Mashingo kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa mifugo yote nchini kabla ya kufika tarehe ya mwisho ya muda wa nyongeza wa Januari 31 mwaka huu. 

Timu hiyo ya wataalamu imeanza kutekeleza majukumu yake Januari 4 mwaka huu ambapo kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Maria Mashingo wilaya 30 ambazo bado hazijaanza zoezi la chapa na zimetiliwa mkazo katika ufuatiliaji ikiwemo Monduli, Kilwa, Liwale, Ruangwa, Mafia. 

Aidha, Wilaya nyingine ni Sikonge, Tabora, Urambo, Mwanza, Ilemela Manispaa, Magu, Ukerewe, Buchosa, Tarime, Kyerwa, Ngara, Newala, Newala Mjini, Tandahimba, Nanyamba, Mtwara, Mikindani Manispaa, Masasi, Masasi Mjini, Nanyumbu, Moshi DC, Hai, Same, Rombo, na Kigamboni. 

Dk. Mashingo amesema suala la upigaji chapa mifugo lipo kwa mujibu wa Sheria ya Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa mifugo Namba 12 ya Mwaka 2010 ili kudhibiti magonjwa ya mifugo pamoja na wizi wa mifugo, kuimarisha usalama wa afya na mazao ya mifugo pamoja na kudhibiti usafirishaji na uhamaji holela wa mifugo. 

Amesema jumla ya ng’ombe millioni 19, 219,487 sawa na theluthi mbili ya ng’ombe wote milioni 28, 829,231 walioko nchini ambapo mpaka sasa jumla ya ng’ombe milioni 7, 701,661 sawa na asilimia 38.5 ndio wamepigwa chapa ambapo wamechangia kiasi cha shs. Bilioni 3, 700,830,500 kwa malipo ya Tsh 500 kwa kila ng’ombe.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Maria Mashingo akipiga chapa ng’ombe katika Kijiji cha Igalula Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 ya Wizara hiyo walioko katika mikoa 26 ya Tanzania bara kufuatilia na kusimamia kikamilifu zoezi la upigaji chapa ambapo Dk Mashingo alisema mifugo itakayokuwa haijapigwa chapa hadi kufikia Januari 31 mwaka huu haijulikani Serikali nini kuhusu mifugo hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi(Mifugo) Dk. Maria Mashingo akiwaonesha wafugaji sehemu sahihi ambayo ng’ombe anatakiwa kupigwa chapa ili kuepuka kuharibu ngozi baada ya kushiriki zoezi la upigaji chapa katika Kijiji cha Igalula wilayani Tanganyika mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 iliyoundwa na Wizara hiyo kufuatiliaji na kusimamia upigaji chapa kabla ya Januari 30 mwaka huu .




Hivyo makala WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA

yaani makala yote WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wizara-ya-mifugo-na-uvuvi-yaunda-timu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA"

Post a Comment

Loading...