Loading...

YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

Loading...
YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI
link : YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

soma pia


YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao  dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD  utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine  Jijini Mbeya majira ya saa 10 jioni siku hiyo hiyo.

Timu ya Ihefu inayoshiriki ligi darala la pili ilifanikiwa kuwaondoa timu ya Mbeya City katika mchezo wao wa kwanza huku Yanga wakiwaondoka timu ya Reha na kufanikiwa kuingia hatua ya pili ya kombe la Shirikisho FA .

Yanga itakayoshuka dimbani kesho kuvaana na Ihefu, kikosi chao kinatarajiwab kuondoka alfajiri ya kesho ili kuwahi mchezo utakaochezwa majira ya saa 10 alasiri huku wakilalamikia ratiba kutokuwa rafiki kwa upande wao.

Akizungumza na Globu ya Jamii, Meneja wa timu ya Yanga amesema kuwa kikosi kitaondoka na wachezaji wao wote isipokuwa wale waliokuwa majeruhi ambapo bado hawajaungana na wenzao kikamilifu.

"wachezaji watakaokosekana katika mchezo wa kesho ni saba ambao bado hawajaanza kuungana na wenzao katika mazoezi ya jumla ila wachezaji wengine wote wako katika hali nzuri," amesema Hafidh.



Hivyo makala YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

yaani makala yote YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/yanga-kukwea-pipa-alfajiri-kesho-kuwahi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI"

Post a Comment

Loading...