Loading...

ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR

Loading...
ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR
link : ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR

soma pia


ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Kamati Tendaji ya chama cha soka Wilaya ya Magharibi A Unguja inatarajia kukutana kwa siku 2 na makundi mbalimbali ya wadau wa soka wilayani humo ili kujadili mambo yanahusiana na msimu wa ligi wa 2017/18.

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ZFA hiyo Zainab Omar Mussa, Kamati itakutana na waamuzi waliochezesha ligi hiyo kabla ya kwenda katika mapumziko na wajumbe wa Kamati ya waamuzi kitakachofanyika Jumamosi ya Januari 20, 2018 kitakachofuatiwa na mkutano wa vilabu vyote wilayani hump kitakachofanyika Jumapili Januari 21, 2018.

Alisema vikao hivyo ni utekelezaji wa uamuzi wa vikao vya Kamati Tendaji na Sekretarieti ya ZFA hiyo ambavyo vilielekeza kufanyika vikao hivyo ili kujadili mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi kilichopita.

Akizungumzia mwendelezo wa ligi hiyo inayoshirikisha timu 31 katika daraja la pili na 12 za daraja la tatu, Zainab alisema ligi hiyo itaendelea kuanzia Januari 27, 2018 na ratiba kwa ajili ya ligi hiyo itatolewa siku ya kikao na vilabu na kuvitaka vilabu vyote kuhudhuria sambamba na kuanza maandalizi ya Timu zao kwa ajili ya ligi hiyo.

Msimu wa ligi katika wilaya ya Magharibi A ulianza rasmi mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2017 na kusimama mnamo mwezi wa 12 ili kupisha mashindano ya kombe la Mapinduzi na dirisha dogo la usajili lililomalizika hivi karibuni.


Hivyo makala ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR

yaani makala yote ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/zfa-kukutana-na-wadau-wa-soka-visiwani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ZFA KUKUTANA NA WADAU WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...