Loading...
title : ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA
link : ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA
ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya UbungoLucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa Chama. Kushoto ni Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akishauriana jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally wakati wa kikao hicho
Katibu wa UVCCM Kata ya Msigani Reinhard Chicano akisalimia baada ya kutambulishwa
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Msigani Godlove Mondo akifungua kikao hicho
Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Ubungo Mbarouk Masoud akifanya utambulisho wa viongozi waliofuatana na Mwenyekiti Mgonja kwenye kikao hicho
Wajumbe kwenye kikao hicho wakishangilia jambo kuliunga mkono.
Hivyo makala ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA
yaani makala yote ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/ziara-ya-mwenyekiti-wa-ccm-wilaya-ya.html
0 Response to "ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA UBUNGO LUCAS MGONJA"
Post a Comment