Loading...

AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO

Loading...
AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO
link : AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO

soma pia


AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO

Na Agness Francis -Globu ya jamii

KAMPUNI ya Simu za mkononi Airtel Tanzania imeamua kuzindua promosheni ya Yatosha Intanenti kwa wale wanaonunua vifurushi vya bando la Yatosha SMATIKA Intanenti.

Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo,leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Masoka Airtel Tanzania Isack Nchunda, amesema kampuni hiyo imeamua kutoa zawadi kwa wateja wake wanaotumia bando la SMATIKA Intanenti.

Kwani wamekuwa waaminifu kwao na wanaendelea kutoa hamasa ili kuendelea kumtumia huduma zao. Nchunda amesema promosheni hiyo ya Yatosha Intanenti itakuwa ni ya muda wa siku 30, ambapo kutakuwa na droo 3 za kila wiki kati ya siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa,

"Kwa ndroo ya kila siku wateja 1000 watajishindia bando ya Intanenti yenye 1 Gb kwa kila mmoja, wakati droo kubwa itakuwa na washindi 10,huku 5 wakijishindia simu za Smartphone na wengine 5 kujinyakulia modern,"amesema Nchunda.

Aidha Meneja Uhusiano Airtel Tanzania,Jackson Mmbando amewataka wateja wao kutokuwa na hofu katika mchakato mzima wa uwendeshaji wa promosheni hiyo. "Itakuwa ni promosheni ya wazi sana itasimamiwa na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha hapa nchini.Kila mteja atakaeshiriki moja kwa moja ataingia kwenye droo ya bahati na kuambiwa kuwa ameshinda au hajashinda"amesema Mmbando.
 Kushoto Meneja uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando na kulia ni Mkurugenzi Masoko Airtel Isack Nchunda  katika zoezi la uzinduzi Wa Promosheni ya SMATIKA Intanenti leo makao makuu ya Airtel Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Masoko Wa Airtel Tanzania Isack Nchunda  akizungumza na waandishi Wa Habari leo katika Makao makuu ya Airtel Jijini Dar es Salaam  kuhusu promosheni hiyo itakavyokuwa ikifanyika ili Kuibuka mshindi Katiba Bahati nasibu hiyo.
Meneja uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akizungumza na waandishi  Wa Habari  leo katika Makao makuu ya Airtel Jijini Dar es salaam kuhusu promosheni  hiyo iliyozinduliwa kama zawadi kwa wateja wake.
 


Hivyo makala AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO

yaani makala yote AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/airtel-yazindua-promosheni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA KUWAZAWADIA WATEJA WAO"

Post a Comment

Loading...