Loading...
title : CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE
link : CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE
CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE
Katika kusherehekea miaka 41 ya CCM , Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyu ameongozana na wanachama wa CCM wengine kutembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha Irente na kuwakabidhi misaada ya vitu mbalimbali.
Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyu akiwa ameongozana na baadhi ya wanachama wakikabidhi sehemu ya msaada huo kwa mmoja wa wawakilishi wa kituo hicho kulelea watoto yatima cha Irente ,wilayani Lushoto.
Baadhi ya Wanachama wa CCM wakiwa sambamba na Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyu wakiwafariji baadhi ya watoto waliopo kituoni hapo,aidha Muwakilishi wa kituo hicho cha Irente alieleza moja ya changamoto inayokikabili kituo hicho ni chakula,hivyo amewaomba Watanzania kusaidia chochote kile walichonacho kuhakikisha kituo hicho kinaendelea na kutoa huduma ya kuwatunza watoto hao walipo kituoni hapo.
Hivyo makala CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE
yaani makala yote CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/ccm-lushoto-yatoa-msaada-kituo-cha.html
0 Response to "CCM LUSHOTO YATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU CHA IRENTE"
Post a Comment