Loading...
title : daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika
link : daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika
daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika
Ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero uliopangwa kukamilika mwezi Februari 2017, sasa umekamilika kwa 100% na liko tayari kuzinduliwa. Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili za mkoa wa Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na Mkoa wa Ruvuma, litaokoa maisha ya wananchi wa wilaya hizo ambao katika kipindi chote cha mwaka walikuwa wakipata shida kuvuka mto huo huku shughuli za usafirishaji wa mazao ya mpunga, ufuta, mahindi, ufugaji na madini zitarahisishwa, kuongeza pato na kukuza uchumi wa Taifa.Pia kukamilika kwa daraja la Mto Kilombero kutarahisisha usafiri kutoka Dar kwenda Songea – Ruvuma ambapo ni mbali mfupi sana kwa kupitia Mikumi-Ifakara-Mahenge mpaka Songea kuliko kupitia Iringa-Njombe mpaka Songea.
Hivyo makala daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika
yaani makala yote daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/daraja-la-kilombero-mkoani-morogoro.html
0 Response to "daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika"
Post a Comment