Loading...

DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE

Loading...
DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE
link : DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE

soma pia


DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amekabidhi hundi za mikopo shilingi milioni 25 kwa vikundi vitatu vya vijana na kimoja cha wanawake zilizotolewa na halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Fedha hizo zinatokana na asilimia 10 ya makusanyo kutoka katika vyanzo vya mapato ndani ya halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kwa kipindi cha kuanzia Mwezi Julai 2o17 hadi Disemba 2017.

Vikundi vilivyokabidhiwa hundi ni kikundi cha Wanawake na Maendeleo kilichopo katika kijiji cha Ishololo kata ya Usule na vikundi vya vijana vya Umoja wa bodaboda, Jikwamue, Shukrani Group vilivyopo katika kijiji cha Didia kata ya Didia katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Akikabidhi hundi hizo kwa wawakilishi wa vikundi hivyo leo Ijumaa Februari katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo,Matiro aliwataka walionufaika na mikopo hiyo watumie pesa walizopata kwa malengo yaliyokusudiwa.

“Kila mtu aliyepata pesa akafanye kile alichokusudia kufanya, serikali inajitahidi kuwawezesha kwa kuwapatia mikopo ili mjikwamue kiuchumi,naomba mfanye kazi kwa bidii ili kubadilisha maisha yenu”,alieleza Matiro.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akiwasisitiza vijana na wanawake waliopata mikopo kutumia fedha walizopata kwa malengo waliyokusudia. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Bakari Kasinyo Mohammed. Kulia ni Afisa Tawala wilaya ya Shinyanga Charles Maugira.

Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akikabidhi hundi ya shilingi 5,000,000/= kwa Joyce Charles aliyewakilisha Kikundi cha Wanawake na Maendeleo kilichopo katika kata Didia chenye wanufaika watano kinachojihusisha na utengenezaji wa sabuni.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akikabidhi hundi ya shilingi 6,800,000/= kwa Majaliwa Kihangaji aliyewakilisha kikundi cha Umoja wa Bodaboda kinachojihusisha na ubebaji wa abiria kwa pikipiki kilichopo katika kijiji cha Didia kata ya Didia chenye wanufaika 60.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akikabidhi hundi ya shilingi 10,250,000/= kwa Methusela Jackson kutoka kikundi cha Jikwamue kilichopo katika kijiji cha Didia kata ya Didia chenye wanufaika 20 kinachojihusha na ufyatuaji wa matofali ya saruji.



Hivyo makala DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE

yaani makala yote DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dc-shinyanga-akabidhi-hundi-za-mikopo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC SHINYANGA AKABIDHI HUNDI ZA MIKOPO MIL 25 VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE"

Post a Comment

Loading...