Loading...

DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

Loading...
DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI
link : DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

soma pia


DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

Na Said Nwishehe,Globu ya Jamii

MWENYEKITI wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dk.Titus Kamani amesema Serikali kupitia tume hiyo ni awaelekeza viongozi wa Vyama vya Ushirika kutojihusisha kuuza mali za vyama hivyo pasipo kuzingatia sheria.

Hivyo amesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kuuza mali za vyama hivyo na kufafanua ili kudhibiti hali hiyo Ofisi za Mrajisi wa vyama vya ushirika imekuwa ikichukua hatua ikiwa pamoja na kuwaondoa viongozi wanaokiuka sheria.

Dk.Kamani amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati anaelezea udhibito wa mali za ushirika na mpango wa makusanyo na mauzo ya mazao makuu matano ya kimkakati kupitia mfumo wa ushirika.

Amesema vyama vya ushirika nchini vinaendeshwa kwa kuzingatia sheria ya vyama vya ushirika namba 6 ya mwaka 2013.Hivyo vyama vinapaswa kuzingatia sheria wanapotekeleza majukumu yao.Dk.Kamani amesema Serikali kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika inaelekeza viongozi wa vyama hivyo kuwa makini kuzingatia sheria.

Amefafanua vyama vina haki ya kumiliki mali na kuuza mali hizo pale itakapoona inafaa kwa kuzingatia shetia iliyopo.Pia mali zinazomilikiwa na vyama zinapaswa kuwa zimerasimishwa ili kuleta uhalali wa umiliki.



Hivyo makala DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

yaani makala yote DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dkkamani-awaonya-viongozi-vyama-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI"

Post a Comment

Loading...