Loading...

DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE

Loading...
DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE
link : DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE

soma pia


DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE

Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, amekutana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Kanda ya Afrika, Bw. Peter Matlare na kuiomba Benki hiyo kuangalia uwezekano wa kutoa mkopo nafuu wa ujenzi wa miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali ukiwemo ujenzi wa Reli ya Kati kwa viwango vya kimataifa (SGR) mradi wa miundombinu ya umeme wa Stieglar's Gorge ili kurahakisha maendeleo ya kiuchumi kupitia viwanda.

Amemweleza kiongozi huyo kwamba Serikali imeimarisha uchumi Mkuu kwa kudhibiti mfumuko wa bei ambao uko katika kiwango chatarakimu moja cha wastani wa asilimi 5.3 katika kipindi cha miezi 6 iliyopita.

"Tumewekeza kwenye miundombinu kama vile Elimu, maji, kilimo, afya, madini, na biashara na kwamba katika kipindi kifupi cha miaka 2 zaidi ya viwanda 80 vimejengwa katika eneo la Mkuranga mkoani Pwani, kutokana na fursa za uwepo wa bomba la gesi na eneo hilo kuwa karibu na Bandari ya Dar es Salaam.

Dkt. Mpango ameelezea pia mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) ambao amesema utarahisisha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo katika nchi zinazopakana na Tanzania hivyo kukuza biashara kwa kiwango kikubwa.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Afrika Bw. Peter Matlare  akielezea umuhimu wa kushirikiana katika kukuza biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Benki yake wakati wa mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo mjini Dodoma.
 Ujumbe kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto), wakifuatilia mazungumzo kati yao na ugeni kutoka  Benki ya Barklays  nchini Afrika Kusini (hawako pichani), mkutano uliofanyika mjini Dodoma
 Ujumbe kutoka Benki ya Barclays uliongozwa na  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Afrika, Bw. Peter Matlare (kulia), wakichukua kumbukumbu wakati wa mkutano kati yao na  Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo mijini Dodoma.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Afrika, Bw. Peter Matlare (hayupo pichani), kuhusu namna ya kuboresha ushirikiano katika kukuza biashara kati ya Tanzania na benki yake, uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo mjini Dodoma.
 Maafisa Wakuu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakichukua kumbukumbu wakati wa mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Afrika Bw. Peter Matlare (hawapo pichani), uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo mjini Dodoma.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia), akipeana mkono na Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Afrika Bw. Peter Matlare, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango mjini Dodoma.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE

yaani makala yote DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dkmpango-mkurugenzi-benk-ya-barclays.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK.MPANGO ,MKURUGENZI BENK YA BARCLAYS WATETA UJENZI RELI YA KISASASA,MRADI UMEME WA STIGLER'S GORGE"

Post a Comment

Loading...