Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyangalink :
Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga
Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, ametembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.
Katika ziara hiyo, Dkt. Mwinuka amejionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kituoni hapo.
Kituo hicho ni mojawapo ya vituo vilivyofanyiwa upanuzi wakati wa utekelezaji wa Mradi wa njia ya Kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 (Backbone) kutoka Mkoani Iringa hadi Shinyanga.
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, akisaini Kitabu cha Kumbukumbu ya Wageni Wakati alipotembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.
Muonekano wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli, kilichopo Mkoani Shinyanga.
Hivyo makala Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga
yaani makala yote Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dkt-mwinuka-atembelea-kituo-cha.html
Related Posts :
NAIBU WAZIRI SHONZA AWATAKA WASANII KUJIJENGEA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA
Na Vero Ignatus, Arusha
Naibu waziri wa Habarui, sanaa utamaduni na michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wasanii wa Injili kjijenge… Read More...
FAMILIA YA DAUDI LIANA YATOA MSAADA WODI YA WAZAZI WILAYANI MWANGA
Familia ya Daudi Liana, Usangi-Mwanga Kilimanjaro wakitoa msaada wa mashuka kwa wodi ya wazazi ya hospitali ya Wilaya ya Mwanga, Usangi, Ki… Read More...
WAKAZI DISUNYARA WATUMIA SH. 4,000 KUFUATA VIPIMO IKIWEMO CHA MALARIA UMBALI WA KM. 10 KWENDA NA KURUDI
NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA VIJIJINI
ZAHANATI ya Disunyara, kata ya Kilangalanga Kibaha Vijijini, inakabiliwa na ukosefu wa maabara ha… Read More...
TANGAZO LA KIFO CHA CLEMENT THOMAS NDELEOKASI SHAYO
Selina Mushi wa Mlandizi Njia Panda JKT anasikitika kutangaza kifo cha mume wake mpendwa Clement Thomas Ndeleokasi Shayo kilichotok… Read More...
DKT. BASHIRU - WAWEKEZAJI WA KIUCHUMI WEKEZENI UCHUMI WA KIMATAIFA, NA WAKISASA.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi –Taifa ameendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera Januari Mosi, 2019 kwa kutembelea Kiwanda cha Kus… Read More...
0 Response to "Dkt MWINUKA atembelea Kituo cha Kupoza,Kusambaza Umeme, Shinyanga"
Post a Comment