Loading...
title : HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA
link : HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA
HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA
Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa kazini. Wakazi zaidi 750 kutoka katika wilaya hiyo wamepata ajira katika kiwanda hicho kinachotajwa kama mkombozi mkubwa wa umaskini kwa wilaya ya Tunduru.
Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd. kilichopo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiendelea na kazi.
Daraja linalojengwa na serikali chini ya wakala wa ujenzi mjini na vijijini Tarura wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa gharama ya shilingi bilioni 115.804 lenye urefu wa mita 45 katika mto Nanyungu lililopo kijiji cha Fundimbanga kama linavyoonekana ambapo litakapokamilika litasaidia kurudisha mawasiano ya uhakika kati ya wakazi wa kijiji hicho na maeneo mengine ya wilaya ya Tunduru. Picha na Muhidin Amri.
Hivyo makala HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA
yaani makala yote HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/habari-picha-toka-wilayani-tunduru-mkoa.html
0 Response to "HABARI-PICHA TOKA WILAYANI TUNDURU MKOA WA RUVUMA"
Post a Comment